Pita hapa tujikumbushe Tv series zilizotamba

Jamani nmeikumbuka Saaana series ya The Promise hivi hakuna sehem zinazouzwa nikaipataa duuuu

Ipo part 2 currently inaonyeshwa itaanza startv soon ila dstv chanel 194 tayari inaonyeshwa
 
The Promise- ndo ilipata umaarufu zaidi (Ynna na Angelo)

La Revancha
It might be you
Isidingo
Don't mess with an Angel
 
Acapulco Bay
 

Attachments

  • telenovelas_acapulcobay.jpg
    77.1 KB · Views: 62
  • hqdefault.jpg
    9.8 KB · Views: 60
  • vlcsnap-2015-11-28-19h43m28s476.jpg
    40.2 KB · Views: 78
Daaa mkuu umenikumbusha enzi izoo ....zote nimezichek zilikua nzuri saana
 
Time trax......egoli...Acapulco bay....days of our lives...bold and the beautiful...
 
Sasa hiyo miaka ya 90s nyumban tv ilikua hakuna 2014 ndio tumepata tv ndogoo ya chogo. Hata kingamuzi haishiki
Dah mlichelewa sana mkuu.
Sisi tulikua kijijini kabisa huko ila Tv ilikuwepo mwaka 1997. Nakumbuka kulikuwa na Dishi kubwa sana limesimikwa chini Jeusi tii
 
Second chance was the best, imesababisha mpaka mtoto wangu wa kike nimempa jina isabel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…