thankx for advice,,kwa dar naweza pata chuo gani kizuli,,ni vyuo gan wanafundisha hiyo course!!Soma secretary unaweza hata kujiajiri mwenyewe
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Nenda magogoni
Magogoni iwe kati list ya chaguo lako
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
jamani naomba ushaul,,, kati ya course secretary na tourism ipi inamanufaa na ipo kwenye soko la ajila!!!!tafadhali naomba kujulishwa