Ile ni miguu au mikono??
Mbona una mguu mzuri sana jamani wengine kama tunatembelea mikono
Ni siku izi tuu,ulimwona enzi zilee?
kweli najiona sifai kabisa sasa nifanyeje ndugu zanguni kuna mtu kaniambia nipake sukari,,, pia kuna mwana dada maarufu kaniambia anauza dawa ya kunenepesha miguu nimpe laki 1 bado najiuliza cjui kweli?
ndio mimi mito
kweli najiona sifai kabisa sasa nifanyeje ndugu zanguni kuna mtu kaniambia nipake sukari,,, pia kuna mwana dada maarufu kaniambia anauza dawa ya kunenepesha miguu nimpe laki 1 bado najiuliza cjui kweli?
Wala usisikitike my dear,Mungu kakuumba hivyo kwa makusudi,Mungu atamleta mume wa kweli aliyekusudia,ambaye atakupenda kama ulivyo,hawa wanaokubeza usiwajali,wewe ni thamani sn mbele ya mwenyezi Mungu,Nakuhusu mazoezi sijawahi sikia kama kuna mazoezi ya kunenepesha miguu,labda wapo wanaojuwa watakushauri,Miguu yako ni mizuri tu mamii kikubwa jitahidi kulainisha ngozi ya miguu yako.ni miguu jmn mi nimeumbwa hivi nashindwa kujibadili sasa swala la ngozi kavu kweli ninangozi kavu
umejitahidi kweli jinsi ulivyo-design kutangaza biashara yako. Na utawanasa tu coz mwalimu wao ni kipofu always.
-Kaveli-
The Boss katika ubora wakeNafikiri tatizo lako sio mguu mbaya
tatizo lako mguu hauna mvuto
ngozi kavu....hauna afya...haung'ai
na si ajabu ni tatizo la ngozi yako yoote
kula vizuri...paka lotion nzuri
jipulizie
oga utakate......
jisugue....tafuta shampoo za kuogea nzuri....
itakusaidia....