miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
afadhali aisee nitumie tu hiyo pesaNimeipenda hii.Ngoja nikuandalie shopin ya Idd.
nilishahu hilo neno mkuu... hiyo mizuri tu ukilinganisha na yanguUkilnganisha na yangu..ulipaswa umalizie hivyo mkuu lol!!
afadhali aisee nitumie tu hiyo pesa
me nathani kuwa na miguu mizurii ni kwa jinsi mungu alivyookuumba jikubali ulivyo huyoo aliyekuacha
alikua na lake jambo hakukupendaa kwa dhati just move on usikubali akurudishe
nyuma yupo atakae kupenda ulivyo trust your self🙂
Wasukuma hawana miguu ya hivyo,we utakuwa mmbulu.
Kila mtu ana matamanio yake juu ya mwili wa mwanamke...ila je msisitizo unao hapo nyuma??jiamni
Teh teh kwa alivo tu miguuni inaonyesha juu ni flat screen.Ungetuonesha na uko juu ningeweza kukushaur vizur
Kwahiyo wewe ya kwako ni TV ya analogiaTeh teh kwa alivo tu miguuni inaonyesha juu ni flat screen.
naombeni mniambie nifanye mazoezi gani miguu yangu inenepe?? nimeachwa kisa cna mguu
Nikiweka yangu hapa utajiona Yako ww minene mnonaombeni mniambie nifanye mazoezi gani miguu yangu inenepe?? nimeachwa kisa cna mguu