Pitia hapa huenda utanikumbuka

Ukweli ni kwamba huwezi kuuza muda ukawa tajiri, mwenye nafasi ya kuwa matajiri au mafanikio makubwa kiuchumi ni yule tu, anae nunua muda. maana yake kuuza muda ni kuajiriwa na kununua muda ni kujiajiri au kuajiri. Hivyo hakikisha unakuwa salama kuwa mnunuzi wa muda wako kabla haujanunuliwa na mtu mwingine.
 

All the best ktk hili
 
Du! Kweli mkuu wasomi wengi walipoteza muda kule mashuleni kutafta utajiri Wa vyeti na wasio soma walitumia muda mwigi kutafuta pesa na utajiri wa mali na kibaya zaidi wasomi walio wengi ni wavivu mnoo at a kuuuza nyanya tu kipndi cha jioni wanaona aibu ndio chanzo cha umaskkni
 
Hahahahah siri ya pesa anaijua mwenye nayo , km unabishi mbona wewe na hata huyo tajiri mnahangaika kuwapeleka watoto wenu elimu za juu , do you know who owns the world money?? Kuna mambo wanafanya wasio na elimu ambayo educated can't do
Kupeleka watoto shule ni ili tu waweze kua na rugha ya kukubalika akija mtaani,asaini karatasi,aandike risiti na kuongea rugha ya kigeni akisafili kibiashara,watoto wangu wakiwa wanasoma nitahakikisha wanasoma kwa namna mbili,elimu ya darasani na elimu ya mtaani ya kusaka noti,na yamkini wakaishia kidato cha sita tu basi.au kidato cha 4
 
Hapana, hakikisha wamemaliza college.
 
Mkuu ungekuwa karibu ningekununulia hata sayona ya jero,[emoji736]
 
Hapana, hakikisha wamemaliza college.
Watapoteza muda bule na kutumia pesa ambayo inaweza kua ni mtaji wa kuzalisha + muda watakaotumia ni asala mkuu,nimeshajifunza mengi huku mtaani baada ya kutoka kwenye box la kuajiliwa!
 
Watapoteza muda bule na kutumia pesa ambayo inaweza kua ni mtaji wa kuzalisha + muda watakaotumia ni asala mkuu,nimeshajifunza mengi huku mtaani baada ya kutoka kwenye box la kuajiliwa!
Nimesema hivyo ili uwazeshe kupata maarifa in deep. Mimi binafsi wangu nimejipanga kuwasomesha mpaka Chuo Kikuu. Kisha nawapa mtaji plus skills ambazo nitawapa na field watakwenda kwenye kazi zangu binafsi, kisha nawarelease wakajitegemee kwa kuzalisha na kujiari, sio waajiriwe
 
ukiweza kuorganize hiyo formal education na kuiweka katika matumizi yaani ukaitumia katika kufanikiwa kimaisha kwa mfano kutimiza malengo yako ya kuwa tajiri, unaweza kuwa tajiri
 
Utakuta msomi anajivuna kumiliki kitabu cha :-
HOW TO BE A REACH MAN
HOW TO GET MONEY EASY
HOW TO BE SUCCESFULL
HOW TO ESCAPE POVERTY
Na majitabu mengine kibao....!!!!! Wakati ki uchumi anamiliki house girl tu nyumbani alikopanga.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umenichekesha sana ingawa me mwenyewe ni msomi, sasa hivi mambo ya darasani nimeshayapotezea kitambo
 
Nimekuelewa sana mkuu, sema mwishoni umenichekesha kuwa hata ww hijawa tajiri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] itakuwa ulipoteza muda mwingi darasani kama mm
 
Ila mi mtaani kwetu wote niliosoma nao na wakaishia lasaba, hawana kitu na wameshazeeka tayari kwa jinsi maisha yanavowawia magumu, nashukuru kwa elimu Yangu hii hii imenifanya niwe MTU kati ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…