Pitia hapa kama unahitaji movie yoyote ya Kizungu, Kihindi na Kichina

Pitia hapa kama unahitaji movie yoyote ya Kizungu, Kihindi na Kichina

Akilihuru

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2022
Posts
1,512
Reaction score
2,980
Kwema wakuu,

Hii thread ni special kwa wale wana JF wenzangu wanaopenda movie mbali mbali za kizungu, kihindi na kichina. Lakini kwa bahati mbaya wamesahau majina ya movie husika, pamoja na wale waliocheza movie hizo.

Kwa leo naomba nianze na movie hizi kadhaa za kizungu, kihindi na kichina. Afu kadri nitakavyokuwa napata muda mzuri nitakuwa najazia jazia movie zingine ambazo sijaziandika hapo juu.

Lakini pia kama kuna mtu ambae anajua movie yoyote kali, na kwa bahati mbaya anaona sikupata muda wa kuiandika hapo juu, tafadhali aandike ili wale ambao watakuja humu kutafuta majina ya movie mbali mbali waweze kuzipata kupitia comments zetu.

Hapo chini ni baadhi ya movie kali za muda wote zilizopata kutokea miaka hiyo. Nianze na za kizungu pamoja na jina la sterring aliecheza movie husika.

Van Damme
1) Hard Target
2) Cyborg
3) Universal Soldier
4) 6 Bullets
5) Bloodsport

Rambo
1) First Blood Part 1, 2 hadi 3
2) The force of freedom
3) Rocky Balboa

Anorld Schwarzenegger
1) Commando
2) Predator
3) The terminator
4) Terminator part 1, 2 hadi 3

Adolph
1) Red Scorpion
2) Universal Soldier

Chuck Norris
1) Delta Force

Transporter
1) Transporter part 1, 2 hadi 3

Movie za wizi wa bank ni

1) Set it off
Steering: Queen Latifah, Jada Pinkett, Vivica A. Fox, Kimberly Elise

1) 44 minutes
Steering: Michael Madsen

Hapo chini naenda kwenye movie za kihindi

Dharmendra

1) Loha
2) Sholay
3) Policewala Gunda

Amitabh Bachchan
1) Sholay, Andha Kanoon, Kaalia

Mithun Chakraborty
1) Disco Dancer
2) Dance Dance
3) Jung

Kwa upande wa movie za kichina

Bruce Lee

1) Dragon
2) Enter the Dragon
3) The way of the Dragon
4) First of fear touch of death

Jack Chan

1) Who am i
2) The Drunken Master
3) Rush Hour

Jet Li
1) The bodyguard from Beijing
2) Cradle the grave
...............................................................

Kwahiyo hapo chini kila mtu awe huru kuandika movie anayoiamini kuwa ni kali, na pia anaweza kuweka story mbili tatu za movie husika.

Mnakaribishwa mserereke wakuu.
 
Yani nilijua unaweka na link ili watu wajipakulie kumbe unaishia kubwabwana majina? Unaelewa mana ya ujipatie?
 
Yani nilijua unaweka na link ili watu wajipakulie kumbe unaishia kubwabwana majina? Unaelewa mana ya ujipatie?
Yani hapa mkuu unaangalia jina tu afu unaenda kuitafuta mwenyew huko Youtube.
 
Hivi mkuu wrong turn part one hadi six zimekosaje kwenye list yako.

Sidhani kama kuna movie nyingine aina ya horror inayozishinda hizi utam.
Hiyo ndo kama nilivyosema kwamba mtu mwingine anaweza kuweka movie anayofahamu.
 
Nafikiri ungejipa muda wa kutosha kuandaa list yakueleweka maana hao wote uliowalist wameshatoa movie nyingi tu,sasa nyingi hapo za longi japo bado nzuri.
 
Nafikiri ungejipa muda wa kutosha kuandaa list yakueleweka maana hao wote uliowalist wameshatoa movie nyingi tu,sasa nyingi hapo za longi japo bado nzuri.
Ok mkuu ngoja nilifanyie kazi wazo lako 🙏
 
Back
Top Bottom