Alkam Alkam
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 603
- 512
Ungetaja na bei kwanza ili tujipime uwezo.
Safi sana mkuu, kazi nzuri
Ahsante sana brother
naomba bei ya hilo bango la "Perfect Feet Match" kama hutajaliInategemeana Na ukubwa wa bango lako Boss tunaweza kupima nakukupigia hesabu Boss Karibu Sana.
[emoji38][emoji38][emoji38] subili siasa tu.Kama bango la Azam kwa ngapi unafanya?
"Usiseme inategemea tena"