Pitia hapa kujipanua kimataifa

DR.RWEYENDERA

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
403
Reaction score
386
Kwanza polen na majukumu, pia mungu ashukuriwe katika kutupatia uhai wa kila siku,

Naanza na kuwapa ushauri wa kupanua biashara yako kimataifa,

1. Sister schools,
Wale wenye shule ambazo zinataka shule rafiki , ninafanya kazi hiyo na uwezo nilionao ni kuzipata shule kutokea maeneo haya
A. United Arab Emirates
B. Singapore
C. China
D. Canada
E. USA
F. Sweden
G. Denmark
H. Na maeneo mengine ya ulaya

2. MTU wa kuungana naye kibiashara,

Mfano wa kuimport au Ku export,
Mwenye fursa na anatafta wawekezaji. Na mwenye kitu chochote kinachohitaji uwekezaji toka nje,


3. Connection za safari za kutembea nje
A. Connection pa kufikia na family itakayokupokea,
B. Shule au Chuo kitakachokupokea kama waenda kufanya utafiti,
C. VISA hapa access ya Dubai, Denmark, Luxembourg, Estonia, abu Dhabi. Omani

Bei za VISA ni ndogo sana
Dubai DOLLA 250, BILA DEPOSIT
LONDON EURO 60 na deposits juu,
USA hatuna access ya visa uko.

4. kanisa linalohitaji ushirikiano na makanisa ya kimataifa, usisite kuni PM

5. Wanaotafta marafiki au kuunganishwa na marafiki, ( pen pals ) kimataifa pia huduma hiyo IPO,
PANUA FIKRA TEMBEA DUNIANI


PM( private message)
 
Nahitaji Huduma ya marafiki je nipe utaratibu
 
 
Nitafutie mkulima na mfugaji toka Israel
Nina mapori sina uwezo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…