Pitia hapa kwa habari ya michongo ya kazi ,

ween

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
414
Reaction score
129
Shalom ndg zangu,
Naitwa ween naishi dar es salaam, nimehtimu mafunzo ya uandishi wa habari (journalisn) ngazi ya diploma.
Nina tafta kazi , mwenye nafasi aniatie kwani nauhitaji wa pesa sana ninauguza hivyo kazi itakayopatkana nitafanya hta iwe nje ya taaluma yangu , mfana duka, kupka , usafi, nk
Nimwepesi sana kuelewa katika utendaji wa jambo lolote endapo nilikuwa silijui nikafanyiwa trainning.
*******am serious ikipatkana naomba nifahamishwe hapa au pm*********
ASANTENI
 
nmeiona ....tuungane kutafuta sis wote ni wahanga
 
Mwenyezi Mungu afungue milango yenu na kuwabariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…