AhsanteHongera
Assume tabia wote wako vzr.???Dah!! Huwezi amini nimeshindwa kuchagua[emoji3] [emoji23]
Ukweli wangu wangu mimi yoyote tu kuanzia A mpk E. Labda nitaangalia kigezo cha tabia
Kisa na Mkasa "jangala"!Wewe unaonekana ni pedejee..
Nitaanza kutembea na mmoja ili nijue utamu wao[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Assume tabia wote wako vzr.???
Hawa wamepewa wepesi zaidi na Muumba. Wana uwezo wa 'ku-ride' kwa ustadi wa hali ya juu kabisa, hongereni sana size 'A'.A=wazee wa flat screen.
EWewe ni herufi gani?