Pitia hapa mdau uchague umpendae

very sorry...am single mother but am in C group.so usitunyari aisee
Basi utakuwa ni miongoni mwa zile mbegu chache zilizokuwa bora kabisa...sio single mother wa kizazi cha chipc zege.
 
hajajua namna single mamaz wanapaswa kuheshimika....nmemfanya mzaz mwenzangu kuwa single mama na nafaham shida apatayo ila namuombea mungu ampe wepes
Unataka kujirudi mkuu...usinisingizie mimi wakati kosa lako mwenyewe....halaf huyo mzazi mwenzio atakuwa ni C kama sikosei......ndo maana unataka kuji backup kiujanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…