Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,557
- 1,787
Naomba msaada kwa hosptali au kituo cha afya chenye kupima na kutuo tiba ya kifua kwani nina shida ya kifua kwa miaka 4 sasa na sijapata vipimo sahihi na matibabu.
Kinatengenezea makohozi kila dakika/mucus secretion kila saa mpaka inafikia hatua nashindwa kuongea ila hakiumi.
Mwanzon nilidhani ni alergy lakini naona mabadiliko kila siku kiasi kwamba hata baadhi ya siku makoozi yanachangayika na damu, na yanakuwa sio mazito saana .