Sio kwamba nilikuwa kimya tuu ndugu, nilishafanya bahadhi ya vipimo lakin nahis havukuw sahihi kwan niliona kama wana lipua saana na majibu niliopewa ckupata dk aliweza kuya fafanua ki ufasaha kwan hata alieniandikia nilihis hana uwakika na majibu yake, mpaka x-ray nilisha piga ila wakasema iko sawa nayo pia nilikuwa na mashaka nayo[regency], hivyo ndio natafuta hosptal ya uhakika kwa matatizo ya kifua..soon natuchukua hatua zaid mkuu..kapime TB,JAMANI KUWENI NA CULTURE YAKUWAHI HOSPITALI 4YRS !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!U ARE STILL WATCHING THE VIDEO HAHAHAAHAHAH AISEE U ARE NOT SERIOUS OTHER WISE SEMA HUNA HELA KWA KWELI NTAKUELEWA LAKINI HOSPITAL ZA SERIKALI NI NAFUU KIDOGO
Umepata solution mkuu tunufaike na wengine?naomba msaada kwa hosptali au kituo cha afya chenye kupima na kutuo tiba ya kifua kwan nina shida ya kifua kwa miaka 4 sasa na cjapata vipimo sahihi na matibabu..
Kina tengenezea makohozi kila dakika/mucus secretion kila saa mpaka inafikia hatua na shindwa kuongea ila hakiumi.
Mwanzon nilidhani ni alergy lakin naona mabadiliko kila cku koac kwamba hata baadhi ya cku makoozi yana changayika na damu, na yanakuwa sio mazito saana .
Nimekumbwa na tatizo kama lako natumia anti biotic nw mana kuna mda hadi kuongea inakuwa kipengele mana inazuia kbsa inabid uyavute uyateme.Asee daah muda umepita sana kwakweli, YES kwakweli na nshukur Mungu sana nilipona . Tena bila kutumia dawa yeyote ! Nilijagundua miaka mingi nimeteseka kumbe ni BIA ZA BARIDI ndio zilikuwa zinasabisha yote nlipo acha tuu basi nikapona 😁
Na mimi ulivyo sema hizo bia na me nahisi ni juice ya miwa niache kunywa nione.Nimekumbwa na tatizo kama lako natumia anti biotic nw mana kuna mda hadi kuongea inakuwa kipengele mana inazuia kbsa inabid uyavute uyateme.