Pitia hapa uongeze siku za kuishi

Kuna siku nimekaa zangu kwenye daladala konda akaja kudai nauli yake nikampa...akataka kunirudishia chenji nikamwambia noo..keep change...ilibidi daladala isimame watu wanishangae
 
Kuna siku nimekaa zangu kwenye daladala konda akaja kudai nauli yake nikampa...akataka kunirudishia chenji nikamwambia noo..keep change...ilibidi daladala isimame watu wanishangae
Hahaaa kwa usawa huu wa Mzee magu hata Mimi ndo ningekuwa dereva ningesimamisha gari tukushangae kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…