Pitia hapa utoe maoni juu ya ubunifu huu

Bani Israel

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
1,775
Reaction score
3,593
Anauza juice huyo mi nimemuungisha hapa kwakweli...

Uzi tayari..
 
Ngoja Wanawake wenye misambwanda feki kwa kuchoma sindano, kumeza vidonge, kupakaa dawa, skintight zenye hipsi/wowowo feki na wa plastic surgery waje wakutolee mapovu hapa kwa kuwaharibia biashara 7bu ya kumweka Mwanamke mzuri wa asili/OG [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimelipenda lile pozi alilopiga yule dogo wa pemben yke,anashangaa tu haamin anachokiona
 
Naona
Bidhaa na Bizaa!

Wale mabaharia tunaonunua vyote, nadhani ni muda muafaka kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…