Pitia hapa

Pitia hapa

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,105
kwa wale ambao ni wana jamvi nawasalimu kwanza wakubwa SHIKAMOO na rika langu HABARI YAKO MSOMAJI!.

Ninaomba kwa wale wanaotoa maoni yao au wanaoandika "threads" uzi kwa jina lingine hapa jukwaani naombeni mzingatie katika "UANDISHI" jitahidi mtoa mada au mchangiaji atumie "LUGHA INAYOSOMEKA NA KUELEWEKA" ili waweze kufikisha "UJUMBE" Uliokusudia kwani wapo watu wa "RIKA" tofauti tofauti ambao baadhi yao "WATAWEZA KUSOMA NA WENGINE WATASHINDWA" Hivyo kushindwa kufikisha ujumbe uliokusudiwa.

Naomba kusisitiza
"MATUMIZI YA LUGHA YAANI UANDISHI"

Naomba KUWASILISHA.
 
wazo nzuri, lakin kwa hapa MMU huwezi kuwa muwazi na kama tunavyojua maneno YETU YA KISWAHILI ni makali so lazima tuyapunguze makali kwa kutumia Tafsida,af kitu kingine mkubwa BAN inauma ww like zangu zilivyonyingi hivi post zangu af nianze moja aku!!
 
kwa wale ambao ni wana jamvi nawasalimu kwanza wakubwa SHIKAMOO na rika langu HABARI YAKO MSOMAJI!.

Ninaomba kwa wale wanaotoa maoni yao au wanaoandika "threads" uzi kwa jina lingine hapa jukwaani naombeni mzingatie katika "UANDISHI" jitahidi mtoa mada au mchangiaji atumie "LUGHA INAYOSOMEKA NA KUELEWEKA" ili waweze kufikisha "UJUMBE" Uliokusudia kwani wapo watu wa "RIKA" tofauti tofauti ambao baadhi yao "WATAWEZA KUSOMA NA WENGINE WATASHINDWA" Hivyo kushindwa kufikisha ujumbe uliokusudiwa.

Naomba kusisitiza
"MATUMIZI YA LUGHA YAANI UANDISHI"

Naomba KUWASILISHA.

Due to our diversity in culture, Jobs, education levels, and wealth, it is difficult to have the same thinking directions. Ujumbe uliotoa ni mzuri, lakini jitahidi tu kuvumilia kulingana na sababu nilizozitaja hapo juu.
 
Back
Top Bottom