Pitia hii Marketing Company (Startup) utoe mtazamo

Kampuni inahusika na matangazo je TRA wanaotoza kampuni mala mbili kodi kama Biashara na kodi za mabango HOW.

Biashara itatoa kodi ya TRA Bango ni sehemu ya kazi ya kampuni ukitoza bango futa kodi ya kampuni How Double Tax.
Anachanganya TRA na TANROAD wewe utalipia huko TanRoad
 
Asante wachangiaji wote mumeonesha uwezekano wa Applicability upo.

Startup yoyote inakuwa na Team watu 2-3, kma utapenda kuwa Team unaweza nicheki.
 
I wish you all the best brother..
ila tarajia kuona reality zaidi ukishaanza implementation
 
Achana na mambo ya mwaka 47 dunia ni ya kidijitali tengeneza online infrasctructure ambayo makampuni watakuwa wanaweka matangazo yao
iwe ni freemium module


tafuta mtaalamu mzuri wa web developmet mwambie akutengenee website kutoka kwenye theme hii hapa Listeo – Directory & Listings WP Theme soko lako iwe ni AFRICA achana na Tanzania

$Milllions utakazozitengeneza utakuja nishukuru baadae
 
Katika hiyo 600 kwa siku i hope unakumbuka kuna TRA, kuna Halimashauri ya sehemu usika, na wadau wengineo watakaotaka mgao wao!
 
Asante wachangiaji wote mumeonesha uwezekano wa Applicability upo.

Startup yoyote inakuwa na Team watu 2-3, kma utapenda kuwa Team unaweza nicheki.
Uko resi sana mkuu, kaa tulia tafakari kwa kina., unapopata wazo jipya akili ina desturi ya kujimwambafy due to over excitment. boresha wazo lako kwanza, umewaza ki analogy zaidi dunia inakotoka, ni sawa na anaewaza kutembeza magezeti in hardcopy, wakat platform ipo kuuubwa online.
 
Braza fanya research kwa utulivu na umakini wa hali ya juu

Kama mdau aliyesema hapo juu, kampuni nyingi zinawekeza matangazo ya online kuliko mabango, vipeperushi n.k. Teknolojia imebadilika

Pili, hao akina Outdoor wameweka mabango yao sio kwa interval...wameweka sehemu maalum kama njiapanda, sehem zenye foleni, sehem zenye mikusanyiko ya watu wengi kama masoko n.k.

Tatu, kampuni nyingi zenye uwezo wa kulipia tangazo hutaka coverage kubwa thats why unaona hao jamaa wako barabara kuu tu

Nne, kwa milioni 60 haitakidhi, hapa itabidi uongeze. Kama utataka kuinstall frem kubwa kama hao competitors wako...maana frem moja tu hapo ni million kadhaa, mafundi, material, before kodi, kulipia eneo....

Nitaendelea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…