Car4Sale Pitia Uzi huu upate gari ya kipato chako

Sawa mkuu, lakini usisahau kuna DX...DY...Kwa hiyo EA haiwezi kuwa mbali, kwa hiyo kuwa na gari namba B,C zinakuwa out of date hata kama ipo kwenye hali nzuri, lakini inakuwa imezeeka tu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa Tanzania inawezekana sana B ikawa mpya na D ikawa ya zamani

Mark my words
 
Gari nzuri na sasa wametoa model mpya nyingine nayo ni hatari,

Bei Nzuri pia.! ,

Mbona una acha space kubwa kati ua txt na picha kwenye post zako?
Anahitaji mtaalanu wa kumwekea vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…