Car4Sale Pitia Uzi huu upate gari ya kipato chako

Inahitajika Carina namba C au D, Tuwasiliane hapa kama kuna Mdau anayo.
 
Duh mshiko wako tu
 
Make: nissan
Model:xtrail
Engine: yd22 common rail
Capacity: CC 2184
Fuel:diesel.
Price:10M
Transmission: manual(gear 7)
SPEED: 220 KM/HR
SABABU ZA KUUZA.
nimehamia shamba huku naona kama naitesa, nauza hii nisake gari nyingine ya shamba.

MAELEZO.
Gari ni nzima haina tabu, wese inanusa tu hapa dar dom huwa naweka mafuta ya laki na hayaishi yanabaki ya kupigia misele.
Ac ya kuganda.
Gari iko full tank ukiiwahi utapata na ofa ya wese,
Kuna engine niliichukua kwa jamaa kama ya ziada(nitolee spea siku za mbeleni) ukiwahi utaipata na hii, madubwasha ya chini sijui ma wishbone na mataka taka mengine yapo yoote ya miguu mi4(hivi utapewa pamoja na gari)

Kama tukifikia biashara na kuna upungufu upo mie nitamtengenezea gari.

Gari inakuwepo kigamboni mara moja moja na mkuranga
Twanga namba 0659445718.View attachment 2177092
 
Harrier old model
Engine vvti
Cc 2360
Year 2003
Tairi mpyaa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…