pitieni hizi Sura ya 13 na 14 tupate cha kuongea

pitieni hizi Sura ya 13 na 14 tupate cha kuongea

Maramla

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
588
Reaction score
648
KATIBA MPYA31.jpg
KATIBA MPYA32.jpg
 
kama kuna mgombea huru basi hakuna sababu ya kusumbuana huko kwenye vyama vya siasa...watakao tupwa nje ya kinyang'anyiro wagombee kama huru!!du....siasa ngumu jamani hata sijui nimeandika nini!
 
kama kuna mgombea huru basi hakuna sababu ya kusumbuana huko kwenye vyama vya siasa...watakao tupwa nje ya kinyang'anyiro wagombee kama huru!!du....siasa ngumu jamani hata sijui nimeandika nini!

Wameweka tu kama pambo ila wamewabana sana kiasi hakuna atakejitokeza kugombea cos wanaitaj huwe na sera so sijui mgombea ubunge nae kama inaitajika awe na sera anaziandaa zann?
 
Duu hii imekaa poa sana mi nimesoma Sura ya 18 nimeipenda hasa ibara ya 217 -223 kuwepo kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mgombea Binafsi wadau wa Siasa na vyama vya siasa hasa wagombea wamepata uwanja mpana zaidi.
 
Back
Top Bottom