Pitso mosimane: Tunahitaji timu za Afrika kujifunza kwa Yanga

Pitso mosimane: Tunahitaji timu za Afrika kujifunza kwa Yanga

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Aliekuwa kocha mkuu wa mabingwa wa kihistoria wa club kubwa ya Al Ahyl ya Misri, Pitso Mosimane ameukubali mziki wa mabingwa wa kihistoria Tanzania YANGA kwa namna walivyofanya gwaride la kusherekea ubingwa ambalo halijawahi tokea Afrika na kufananisha na namna timu za Ulaya zinavyosherekea ubingwa wao

Haya ni maneno aliyoyasema Pitso Mosimane [emoji116][emoji116][emoji116]

" Conglatulation Yanga1935
Africans can also do their trophy like Europeans teams

We needs to see more of these parades because it show the love and passion of the supporters

Beauty of African football

Maendeleo hayana chama.

FB_IMG_16562690469744138.jpg
 
Samahani amesema tujifunze kwa yanga au tujifunze kwa timu za ulaya?
Point Ni kwamba Yanga ilijifunza kwa kwa timu za ulaya....mfano real Madrid....walivyokuwa wanasherekea ubingwa wa UEFA...

So mosimane anahimiza timu za Africa zifunze kwa yanga.....
 
Back
Top Bottom