Makolo🤣Utopolo watapinga
Samahani amesema tujifunze kwa yanga au tujifunze kwa timu za ulaya?Aliekuwa kocha mkuu wa mabingwa wa kihistoria wa club kubwa ya Al ahyl ya misri pitso mosimane ameukubali mziki wa mabingwa wa kihistoria Tanzania YANGA kwa namna walivyofanya gwaride la kusherekea ubingwa...
Kwa YangaSamahani amesema tujifunze kwa yanga au tujifunze kwa timu za ulaya?
Like europian teams. Inawezekana yanga ipo ulaya mimi ndio sijuiKwa Yanga
Point Ni kwamba Yanga ilijifunza kwa kwa timu za ulaya....mfano real Madrid....walivyokuwa wanasherekea ubingwa wa UEFA...Samahani amesema tujifunze kwa yanga au tujifunze kwa timu za ulaya?
Basi akachague kwa kujifunzaAu anabisha[emoji23][emoji23]
Mwamba ameteleza...[emoji23][emoji23]