Huo ndio ukweliKutokana na Spika Mstaafu kueleza kuwa Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile.
Kwa vile bungeni kuna wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wanaoharibu pesa za wavuja jasho kwa kulindwa na mtu mmoja, napendekeza Spika ashitakiwe hata kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki.
Toka zamani ilikuwa hivyo kabla ya utatu mchafu utatu wa vyura ule wa Spaka, Jaja na mtoto wa chatuKutokana na Spika Mstaafu kueleza kuwa Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile.
Kwa vile bungeni kuna wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wanaoharibu pesa za wavuja jasho kwa kulindwa na mtu mmoja, napendekeza Spika ashitakiwe hata kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki.
Ashakuwa shetani yule wala hashtuki tena. Hana Dhamiri kwenye nafai yale imekufaSupika angemsikilia huyu mzee kwenye kipindi tv ya ITV, angepata japo mawili yangemsaidia, hasa kuhusu G55, mgogoro na utatuzi wake ambao Bunge lilibaki na heshima Pius Msekwa akabaki akiwa na busara na hekima! Ni mfano acha kuendeshwa!
Upo wakati Ndugai atasota mahakamani kama Sabaya.Kutokana na Spika Mstaafu kueleza kuwa Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile.
Kwa vile bungeni kuna wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wanaoharibu pesa za wavuja jasho kwa kulindwa na mtu mmoja, napendekeza Spika ashitakiwe hata kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki.
Hata Mbowe anahusikaHao akina Mdee, siyo wabunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bali ni wabunge maalum wa Ndugai