Na ukweli ni kwamba kama ni mpenzi haswa wa samsung.. ukishaingia kutoka utajiuliza mara mbilimbili.Tumeshasema na tutaendelea kusema, binafsi nimetumia Samsung sana, S series na A series, nimeshatumia clean android ya Google Pixel na simu kadhaa za Android.
Upande wa Android SAMSUNG HANA MPINZANI. SAMSUNG NI LEVEL NYINGINE. Hapan tunazungumzia Android na UI ya Samsung. Ukigusia upande wa Display ndo kabisa.
Nimewahi tumia samsung A series toleo lile la 50βs. Nimetumia S series zile flagships na kwa sasa nipo Iphone, simu yangu ya kwanza kumiliki Iphone.Na ukweli ni kwamba kama ni mpenzi haswa wa samsung.. ukishaingia kutoka utajiuliza mara mbilimbili.
Kwanza ukiongelea samsung achana kwanz na hzo A05,A06,A15 na hizo A series uchwara. At least uanzie hizi latest A30's na A50's apo ndo kidogo utaona what samsung means. Ila ukija kwenye hizi latest S series ni moto wa kuotea mbali, wakorea hawana mpinzan kwa kwelπππ₯π₯
Karibu nyumban Mkuu!, yah kama ni mtu wa multitasking Z fold itakufaa zaidi. Japo binafsi sijawahi kuvutiwa na simu za kukunja. Ila zinafaa sana katika multitasking heavy duties kama gaming ziko smooth sana, zinaperfom kama mini computer.Nimewahi tumia samsung A series toleo lile la 50βs. Nimetumia S series zile flagships na kwa sasa nipo Iphone, simu yangu ya kwanza kumiliki Iphone.
Iphone app zake ni premium sana ila tu eneo la multitasking na downloada wamelifunga mno. System ya iOS iko very smooth, apps ktk Iphone zipo smooth sana ila eneo la downloads na multitasking wamelifinya.
Hapa nasogeza siku ziende nirudi Samsung, nichukue fold 6 au 7.
Kabla sijachukua hii iphone nilitaka kununua 24 ultra ila kuna mtu akanishauri sana saana nichukue hii iphone na kiukweli sijutii, iko vizuri sana ila android ilikuwa inanipa uhuru mpana zaidi kuliko Iphone. So nitarudi tu Samsung, mimi matumizi yangu ya simu ni makubwa sana, simu huwa haipo mkononi endapo tu nikiwa nmelala.Karibu nyumban Mkuu!, yah kama ni mtu wa multitasking Z fold itakufaa zaidi. Japo binafsi sijawahi kuvutiwa na simu za kukunja. Ila zinafaa sana katika multitasking heavy duties kama gaming ziko smooth sana, zinaperfom kama mini computer.
Tatizo betri, hapo Samsung wameshindwa kabisa.Na ukweli ni kwamba kama ni mpenzi haswa wa samsung.. ukishaingia kutoka utajiuliza mara mbilimbili.
Kwanza ukiongelea samsung achana kwanz na hzo A05,A06,A15 na hizo A series uchwara. At least uanzie hizi latest A30's na A50's apo ndo kidogo utaona what samsung means. Ila ukija kwenye hizi latest S series ni moto wa kuotea mbali, wakorea hawana mpinzan kwa kwelπππ₯π₯