Corner stone
Member
- Jan 3, 2020
- 32
- 30
Habari ya wakati huu wana JF, nimekutana na matangazo ya hawa jamaa wanaouza simu used from Dubai wakiuza simu ya google pixel 5 kwa bei nafuu ila wanasema ina RAM ya GB 6 na kwa ninavyo fahamu pixel 5 ina configuration moja tu ya RAM GB 8.
Wenzetu wanapigwa au hili ni toleo jipya.
Wenzetu wanapigwa au hili ni toleo jipya.