C Corner stone Member Joined Jan 3, 2020 Posts 32 Reaction score 30 May 12, 2023 #1 Habari ya wakati huu wana JF, nimekutana na matangazo ya hawa jamaa wanaouza simu used from Dubai wakiuza simu ya google pixel 5 kwa bei nafuu ila wanasema ina RAM ya GB 6 na kwa ninavyo fahamu pixel 5 ina configuration moja tu ya RAM GB 8. Wenzetu wanapigwa au hili ni toleo jipya.
Habari ya wakati huu wana JF, nimekutana na matangazo ya hawa jamaa wanaouza simu used from Dubai wakiuza simu ya google pixel 5 kwa bei nafuu ila wanasema ina RAM ya GB 6 na kwa ninavyo fahamu pixel 5 ina configuration moja tu ya RAM GB 8. Wenzetu wanapigwa au hili ni toleo jipya.
COLTAN Senior Member Joined Mar 13, 2023 Posts 196 Reaction score 187 May 12, 2023 #2 Wanakuja tupate ufafanuzi
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 31,559 Reaction score 42,179 May 12, 2023 #3 Probably ni pixel 5A,
Introsagvert JF-Expert Member Joined Sep 9, 2019 Posts 1,459 Reaction score 3,020 May 12, 2023 #4 Hiyo ni Pixel 5a mkuu