#TeamPixel
Google wamezindua Pixel 8a, ambayo ni cheap version ya Google Pixel 8, ikiwa na Tensor G3 chipset.
Kimuonekano inafanana na Pixel 8 na 8 Pro. Ikiwa na kioo cha OLED cha 6.1 inch FHD.
Nyuma camera mbili (64MP & 13MP) na mbele kuna 13MP. Camera zina uwezo wa kurecord 4K video at 30fps za mbele na nyuma inaweza hadi 60fps.
Pia ina 8GB RAM, na 128GB au 256 GB storage, battery 4490mAh.
Kwa uko kwao itauzwa $500 sijui ikifika Makumbusho.
Nimetumia Pixel kuanzia 3 hadi 6 kweli ni best kwenye picha, ila kwenye video recording bado wako nyuma sana. Labda kama wame improve kwenye Pixel 7.