dokolombwike
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 373
- 616
Wakuu msaada tafadhali,
Juzi nilikuwa nafanya service ya gari yangu. Baada ya kumwaga oili fundi akasema ngoja asafishe plag. Ile amerudishia akaniambia niwashe gari ikae silence kidogo.
Baada kama dakika moja ulisikika mlio mkubwa sana kwenye tundu moja la plug. Sasa kurudishia tena plug haifungi tena.
Sasa wakuu nini hiki na nitatumia njia gani plag ifunge vizuri?
Kosa ni la fundi hapo, hakuifunga sawa sawa na kuikaza aliiegesha tu kihuni sasa chuma ilivyowashwa presha ikaichomoa means hapo pengine trade zimekufa au tundu limeongezeka.Wakuu msaada tafadhali,
Juzi nilikuwa nafanya service ya gari yangu. Baada ya kumwaga oili fundi akasema ngoja asafishe plag. Ile amerudishia akaniambia niwashe gari ikae silence kidogo.
Baada kama dakika moja ulisikika mlio mkubwa sana kwenye tundu moja la plug. Sasa kurudishia tena plug haifungi tena.
Sasa wakuu nini hiki na nitatumia njia gani plag ifunge vizuri?
Kazi zote za plugs huwa nafanya mwenyewe....mafundi wa Tz wanachosha akili kabisa....Kosa ni la fundi hapo, hakuifunga sawa sawa na kuikaza aliiegesha tu kihuni sasa chuma ilivyowashwa presha ikaichomoa means hapo pengine trade zimekufa au tundu limeongezeka.
Pole sana ila usirudie kwenda kwa mafundi wasio makini
Hapo labda uende kwa wale wataalam wa kujaza sehemu zilizotanuka....kisha wachonge threads upya...japo itakuwa ni solution ya muda mfupi...Wakuu msaada tafadhali,
Juzi nilikuwa nafanya service ya gari yangu. Baada ya kumwaga oili fundi akasema ngoja asafishe plag. Ile amerudishia akaniambia niwashe gari ikae silence kidogo.
Baada kama dakika moja ulisikika mlio mkubwa sana kwenye tundu moja la plug. Sasa kurudishia tena plug haifungi tena.
Sasa wakuu nini hiki na nitatumia njia gani plag ifunge vizuri?
Na yule kijana ndio mimiDah. Niliwahi kupata tatizo linafanana na hilo, ingawa langu gari ilikuwa haijawashwa.
Nikajulishwa kijana yupo temeke akaja kutatuwa hilo tatizo kwa dakika 20 tu, mpaka leo miaka imepita halijajirudia.
Kabla ya kuja huyo kijana mafundi kama sita, kila anaekuja ananambia lazima "cylinder head" ishushwe ipelekwe engineering ikatengenezwe. Bahati akatokea mtu akanijulisha huyo kijana. Gharama zake siku hizo, sifahamu kwa sasa, ilikuwa 30,000 tu pamoja na nauli yake. Gari ilikuwa ni Pajero Jr.
JF is never boring - The Boss.Na yule kijana ndio mimi
Sina uhakika na hilo lakini mimi nilitengenezewa ikatengemaa tena ni muda mrefu sasa.Hapo labda uende kwa wale wataalam wa kujaza sehemu zilizotanuka....kisha wachonge threads upya...japo itakuwa ni solution ya muda mfupi...
Suluhu ya kudumu ni kutafuta cylinder head nyingine..
Pole sana....
Sija quote ili kujipa promo nipewe hiyo kazi inayomsumbua mdau, kwaiyo usiende mbali kuhisi nafanya njama za utapeli hapa.JF is never boring - The Boss.
Weka namba zako za simu nihakikishe. Usije ukawa ni tapeli tu.
Hata lugha yako inaonesha siyo huyo kijana. Sasa kwanini ulijidai ndio wewe?Sija quote ili kujipa promo nipewe hiyo kazi inayomsumbua mdau, kwaiyo usiende mbali kuhisi nafanya njama za utapeli hapa.
Hahaha haiwezekani mtu akabadilisha uandishi??Hata lugha yako inaonesha siyo huyo kijana. Sasa kwanini ulijidai ndio wewe?
Tatizo kubwa tulilo nalo Tanzania hatuna regulatory authority ya consumer protection.
Tatizo kubwa tulilo nalo Tanzania hatuna regulatory authority ya consumer protection.