plagiarism detector

plagiarism detector

ogm12000

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
304
Reaction score
86
Habari zenu wana JF

Ebwana nilikuwa mada moja muhimu kuhusu Universities za Tanzania. Wanafunzi wengi wamekuwa wakicopy ( plagiarism) kutoka kwenye vitabu au article mbalimbali wakati wanapokuwa wakiandaa homework zao, final projects na kadhalika. Ili kuepukana na tatizo hili vyuo vingi vya ulaya, asia vimekuwa vikitumia software inayoitwa plagiarism detector ili kuwanasa wanao copy katika vitabu au internet source yeyote.

Kama bado system hii haijaanza kutumika Tanzania nilikuwa nashauri wangeianzisha ilikupungua au kuondoka kabisa ma graduate fake. Gharama ya hii software sio kubwa na vyuo vyote vinaweza ku-afford. Kwa wale wanafunzi wenzangu mnao andaa final report zenu mnaweza kucheki report zenu kupitia hii webpage The Plagiarism Checker.

NB: Hii site inacheck internet sources tu kama umecopy kwenye vitabu haiwezi kuona .
 
ThankS. KWA USOMI WETU PIA TUNAHITAJI HATA ILE SOFTWARE YA KUCHECK LUGHA..
 
Yaani hii ni kweli kabisa. Lecturer mmoja alituambia wazi kwamba tusign plagiarism document halafu all assignments na projects wanazi-run kwenye hii software.

Ikidetect umecopy and paste na hauja-acknowledge kazi hiyo unafeli na wanakufungulia kesi - lack of academic integrity...kwa kiasi naona itasaidia.
 
Google is one good and inexpensive way of detecting plagiarism, at least for web published materials, which is most of the material out there now.
 
Back
Top Bottom