plan to run business Arusha/Moshi

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,420
wakuu wa Arusha/Moshi ningependa kuwafahamisha kuwa nafikiria kufungua ofisi mojawapo ya miji hiyo,mimi ni mchaga lakini nimeishi nje ya hiyo miji kwa muda mrefu sana,
naombeni info kuhusu hali halisi ya kibiashara hapo,taarifa nilizo nazo ni kuwa wakenya ndo wamekamata maofisi mengi huko,ninategemea kuendesha biashara i ict,je biashara hiyo ikoje huko??je yawezekana???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…