Korodani kuwa kubwa ni ulemavu, hivi baadhi ya wadau koment zenu mnazitoa wapi? Zinakuaga unique sanasidhani kama hapa ni mahala sahihi kuongelea korodani. MAANA huo ni ulemavu wake. haisadii kuongeza ELIMU au UELEWA wetu.
sidhani kama hapa ni mahala sahihi kuongelea korodani. MAANA huo ni ulemavu wake. haisadii kuongeza ELIMU au UELEWA wetu.
Mkuu kwani kuwa na Pumbu / Kende / Korodani ni Ulemavu?