Planet Saturn

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Katika solar system yetu, Planet Saturn ndio the most developed planet kuliko planet nyingine yoyote ile kuanzia miundo mbinu, science and technology.

Dunia inaongozwa kutoka Sayari hii. Viongozi wakuu WA dunia hii wanapata maarifa ya namna ya kuongoza na kuitawala dunia kutoka Planet Saturn.

miungu wanao tawala planet Saturn ndio miungu wenye nguvu kubwa za kiroho kuliko miungu wanao tawala katika Sayari nyinginezo zilizopo katika solar system yetu.

miungu kutoka Sayari nyinginezo katika solar system yetu they respond to the commands of the gods and lords of planet Saturn.

Manabii na Mitume wengi katika Sayari hii ya dunia have got their spiritual powers from planet Saturn.

Kuna connection kubwa Sana ya kiroho Kati ya Planet Saturn na planet Earth.
 
Mmh...
Vipi huko Saturn ziwa Victoria lao Kuna kamongo?
huu Uzi ni maalumu Kwa watu ambao wapo obsessed na Mambo ya planets, space and extraterrestrials. We shares ideas and all that.. Nna nondo nyingi Sana za kushare na Wana. Utawaponza wenzako wakose burudani bure..

Lengo ni kujifunza vitu vipya na kufantasize.

Kama sio interest yako you better ignore the thread.

Ur comment was not necessary here..

In Ur life, try to avoid at all cost showing up in a place where Ur presence is not needed..

With all due respect I beg you to stay off this thread.

Ur a persona non Grata to this thread
 
Story za vibogoyo hizi haya tumalizie na mapengo yako yametokea hukohuko Saturn...
 
I always have intuition similar to this. That probably every planet has it's own god. And the so called Mungu wa majeshi anapambana na miungu wa sayari nyingine, otherwise kwanini aitwe Bwana wa majeshi?
 
I always have intuition similar to this. That probably every planet has it's own god. And the so called Mungu wa majeshi anapambana na miungu wa sayari nyingine, otherwise kwanini aitwe Bwana wa majeshi?
ELOHIM TZABAOTH , LORD OF THE HOSTS THE SERAPHIMS IN HEAVEN CEASE NOT TO CRY DAY AND NIGHT.

"QUADOSH QUADOSH QUADOSH, THE WHOLE HEAVEN AND EARTH ARE FULL OF HIS GROLY."

Mungu hashindani na chochote cause hakuna chenye uwezo WA kushindana nae.

Thou art He who is called EL ELION .LORD GOD THE MOST HIGH.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…