Planet X (Nibiru) inakuja..

Heri lee

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
981
Reaction score
537
Wadau mambo yanakuwa vipi watu wa nguvu baada Mwaka kila mtu naona anapambana na hali yake

Bila kupoteza wakati
Tunasikia juu ya sayari isiyojulikana inayotoka anga za mbali sana kuja kuigonga dunia kwa speed ya ajabu(light speed)
Iliyopewa jina LA nibiru au planet x inayowaka moto japo wana anga wa NASA Mwaka 1987, walisema sayari hiyo itafika duniani Mwaka 2019 au 2018 huku tukio la kupatwa kwa jua Mwaka 2016 na tsunami ya 2005 ikiwa linaashiria kuwa Nibiru imekaria kuigonga dunia
Pia NASA walisema miongoni wa viashiria kuwa Nibiru itafika duniani ni
Volcano
Earthquakes
Joto Kali
Tsunami
Na hii inasabishwa na mionzi mikali ilio ndani ya sayari hii
Japo hata sasa wataalamu wamekaa kimya kuhusiana ujio wa planet x ambayo kama itaigonga dunia hakitasalia hata chembe "haradali"
Ngoja tuzidi kungoja taarifa zaidi

We will all die
 

Attachments

  • iiifffffffffffffff-1024x768.jpg
    62.8 KB · Views: 97
  • iiifffffffffffffff-1024x768.jpg
    62.8 KB · Views: 90
Yupo bwana kiduku wa N.K ataki mazoea na nchi yake[emoji23] [emoji23] awezi ruhusu aka kam dudu kutoka angani kaje kaangamize dunia yte na nchi yake
 
Natamani kukutukana lakini si kosa lako, huu ujinga wa kutisha watu wazungu waache. Wanatutisha mambumbumbu wao wanapiga kazi sisi tunaanza kuhofia hadi zile hela benki unaenda kunywa chibuku..
 
Inakuja kwa light speed?!!!!!! Light inakwenda kwa karibu km 300,000 kwa sekunde.
Je na unamaanisha na hiyo planet inakuja kwa speed hiyo?
 
Toa Ujinga wako hapa...........Kama joto ni kiashiria saivi ulaya na Amerika imekumbwa na baridi kali hapo unataka kusema nini?!!!Huo ujinga wenu wa Google peleka huko vijiweni
 
Acha tugongwe tu ili tukatubu
 
HA ha ha ha haa Jana Umebaniwa Mambo na mama Watoto nini?
Maana Thread Inaonyesha haupo Sawa Kimawazo bro!
Afu JF hawasomi magazeti a udaku na kushauri nawe acha sasa
 
Mwekamada utajuta kufungua huu uzi kuna watu wanashusha mitusi utafikiri wewe ndo nibiru!😀

sina hakika hasa kama kweli nibiru ipo au haipo!,lkn kuna hili
kuna jitihada zozote zinafanywa kuizuia isigonge dunia..?
kwanini hao wanasayansi hawajishughulishi nalo ndo kwanza wanaproject nyengine..?
nijuavyo wangewekeza nguvu kubwa ktk kuteketeza nibiru ili kuikwamua dunia kuliko kuwekeza kwenda mars.. umesema kwamba nibiru inaweza fika mwaka 2018 au 2019 lkn haohao wanasayansi wanaproject za 2020+
 
Hiyo planet x walisema itaagukia dunia tarehe 23 sept 2017, haikutokea, wakasema tarehe 30 sept 2017, haikutokea . Mara wakasema eti tutaona majua yatakuwa mawili, yakowapi?. Maandiko hayatuambii kuwa mwisho wa dunia utakuwa ni kwa dunia kugongana na sayari yoyote ile. Wengi watafuata mafundisho ya mashetani na roho zidanganyazo.
 
Hii planet X naona kila mwaka tunaambiwa kuwa inakuja. Badae taarifa zinapotea
Naona huu uzushibumeibuka tena
 
Kuna taarifa zilisambaa kuna utafiti Ili kutengeneza mtambo wa kuilipua sayari hy kabla haija fika kwenye anga letu na system ya dunia ila wakagundua madhara yatakuwa makubwa kupita kiasi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…