Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Kwa wale wenye interest na mambo ya anga za mbali, huko angani kwa sasa kuna kitu kinaitwa planetary alignment na siku chache zijazo kutakuwa na eclipse kadhaa.
Hii inaweza kuwa nzuri kwa walimu wanaofundisha Jiografia, wanaweza kutumia nafasi hizi kuwavutia wanafunzi kwenye somo lao.
Hii inaweza kuwa nzuri kwa walimu wanaofundisha Jiografia, wanaweza kutumia nafasi hizi kuwavutia wanafunzi kwenye somo lao.