Plani B kwa wazalendo

Plani B kwa wazalendo

isotaaaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
1,944
Reaction score
824
Watu wote wenye mafanikio makubwa katika maisha wamekua ni watu wenye PLAN B mfano Donald Trump alipoulizwa atafanya nini akishindwa kupata urais akajibu atajikita katika biashara zake, Lowassa alipoulizwa atafanya nini akishindwa kupata urais akajibu atarudi Monduli kuchunga ng'ombe, wewe umeachwa na kademu kenye sura nyeupe na kopo la carolight unawaza kujiua?
[emoji124] [emoji115]
 
Back
Top Bottom