Plant accountant Knauf Measa building materials

Plant accountant Knauf Measa building materials

Ziguh2013

Member
Joined
Jun 29, 2023
Posts
25
Reaction score
31
Habari za kazi wakuu
Naomba kuuliza kama kuna wadau wameanza kufanyiwa phone interview kutoka kwenye hiyo kampunu hapo juu
Nilifanya application nikajibiwa mail kwamba nitapiguwa simu kwa ajili ya oral interview kupitia simu
Inaenda wiki ya pili sasa naona kimya so kama kuna yoyote ambae aliomba kama mimi basi anisaidie kujua nini kinaendelea
Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom