Plasma TV au LCD TV

picha ni picha tu, lcd, plazma sijui nini, hayo ni majina tu kanunue tv philps hotel ukubwa wowote
 

nashauri...mnaotaka kununua TV....hebu msomeni vizuri huyu Kimweri........ana shule nzuri sana kuhusu haya madude.................

Kuna point moja muhimu anayosema Kimweri.........huna haja kununua gari yenye matairi ya kutumika wakati wa snow wakati huko bongo hakuna snow........ni kweli kabisa...............usinunue TV ya HD wakati teknolojia za TVs Station nyumbani bado hazijaingia kwenye mfumo huo.........

......Mkuu Ogah, kama umenunua kwa sasa LED, basi umelipia na pesa ya utafiti. Hizi kwa sasa wanarudisha pesa zao za utafiti na zikirudi, watashusha sana bei. Hata hivyo hongera kwani bili ya umeme itashuka kidogo.

Mkuu wangu Sikonge.........
....hahahaha......well thats your opinion...........lakini duuhh........ile LED si mchezo aisee...........ni baaab kubwa...........
 

kaka uko deep kwenye tv,big up! hizo red zote ni FACTS,mtu akizingatia atakuelewa.
hio blue...KURO....i own it,mtu aki-experience hio atajua unaongea nini otherwise si rahisi kukuelewa......its PIONEER KURO TV....a bit pricey but worth every penny/cent.
 

...Mkuu, Hiyo KURO ipo hapa Tanzania? Inapatikana duka gani? Ni genuine??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…