SENNYBRIGHT
New Member
- Jun 4, 2023
- 1
- 0
Habari Tanzania, habari mtanzania. Je umewahi kutenga muda wako kuwaza kuhusu uhusiano wako na plastic materials katika maisha yako ya kila siku? Kama jibu lako ni ndiyo, je unaamini Tanzania tunaweza kuishi bila plastics materials? najua wengi watasema ndiyo pia mimi awali nilikuwa na majibu kama hayo nililaani muno uzalishaji wa plastic materials ila ukweli ni kwamba majibu hayo yote siyo sahihi.
Maana ni ukweli usiopingika kuwa Tanzania kwa ni nchi ambayo inapigania maendeleo yake kufiki uchumi wa juu na bila maendeleo ya viwanda nafasi hiyo ya uchumi haiwezi kufikiwa kamwe, je unafikiri viwanda hivyo vinaweza kukua bila plastic?
Sijui una jibu gani ila wengi nadhani watasema ndiyo jambo ambalo siyo kweli kwa mfano wazalishaji wa viwanda kama Mohamed Dewj na Bakhresa kwa Tanzania wanaozalisha vinywaji(soft drinks) ambazo ziko packed kwenye plastic bottles ni sahihi kuwazuia wasitumie plastic ili hali kila wakifanya research zao kuhusu namna gani wanaweza kuongeza mauzo ya bidhaa zao ni kutumia take away kama plastic bottles tena isitoshe bottles hizo zinaweza kuwa recycled na humuelekeza kabisa mtumiaji ila haiwi hivyo plastic hizo huishia kutupwa ovyo na kuzagaa katika mazingira na hapo ndipo zinakuwa uchafu kwenye mito, bahari na sehemu nyingine za mazingira yetu.
Je mpaka hapo unaweza kutambua ni nani anahusika na uharibifu wa mazingira? Anayehusika na uharibu ni jamii, kiufupi ni mimi na wewe tunapo tumia bidhaa yenye plastic package kutoka kwa viwandani kisha kuitupa hovyo. Lakini, hatupaswi kujilaumu sana ila hatuna budi kuchukua hatua madhubuti ili kuelewa vyema suala la recycling and re-use maana asilimia kubwa ya plastic materials zinaweza kuwa recycled pia mamlaka husika ziko wapi? Inaonekana wazi kuwa hakuna elimu kwa jamii lakini mamlaka zinazoongwa na trusted intellectuals bado zimelala katika kutoa elimu juu ya recycle and re-use.

Upvote
0