Plastic Ricycle Business

Lambardi

Platinum Member
Joined
Feb 7, 2008
Posts
18,813
Reaction score
21,830
Wakuu heshima mbele!natafuta mtu mwenye Business Plan na Research ya hiyo business hapa Tanzania anisaidie nione kama nitaiweza na kama italipa!nawakilisha!
 
Mkuu nenda pale UNIDO kamtafute jamaa mmoja anaitwa Akim utapata kila kitu kuhusu hii kitu. All the best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…