Kwa uhakika India tena ukipata hospitali nzuri wanakupa na holiday package, kwingine ni nchi zilizokua za kijamaa Hungary na nyingine utapata matibabu kwa bei nafuu. Tanzania sifahamu.
kabla ya kufanyiwa plastic surgery ni muhim kufaham km alikuwa mtumiaji wa sigara.km ni mtumiaji hyo kitu inadunda na atatisha sana
pili kwa tanzania hyo huduma hakuna.nakama ipo bima ya afya huwezi kutumia.hapo nenda india tu apolo
india nadhani ndio kuna gharama nafuu.pia jarib kuhuridhia aghakan kwa tanzani wanaweza kuwa na huduma hyoAlikua havuti sigara ila Kama ni nje ya nchi basi hatuna uwezo
Nenda kaulizie CCBRT hyo huduma ilikuwepoWataalamu Nina ndugu yangu alipata ajali mwaka 2011 alipata majeraha sehemu mbalimbali za mwili ikiwa ni pamoja na usoni na kumsababishia makovu kwenye Paji la uso na linampelekea kukosa raha na amani hasa ukizingatia ni mtoto wa kike....
Natamani kumsaidia ila sifahamu chochote kuhusu Plastic Surgery hua naisikia tu... Naomba ushauri je hili suala linawezekana...???? Na gharama zake inakuaje....?????? Na je hospitali gani ni nzuri kwenda kufanya hii kitu...??? Pia anaeza kutumia kadi ya bima ya afya...???? Naomba kuwasilisha