Plastic zilizotumika/chakavu huuzwa wapi?

Plastic zilizotumika/chakavu huuzwa wapi?

Ozzie

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2007
Posts
3,217
Reaction score
1,261
Nauliza kiwanda gani hununua makopo ya maji na juice yaliyotumika kwa wingi? Huuzwa kiasi gani kwa kilo? Mnunuzi anapatikana wapi?
 
Ozzie
swali zuri sana hili

ningependa pia kujua wanaonunua wanatumia je wanazitumia kama raw material na kufanya extrusion ili kupata products za plastic

je hapa Tz kuna watengenezaji wa plastic materials kama PEP, BOP, PET , PS etc, bei zikoje per roll in ton

ninatarajia kuanza utengenezaji wa food boxes and containers, tayari ninayo mashine
241654.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom