Ozzie
swali zuri sana hili
ningependa pia kujua wanaonunua wanatumia je wanazitumia kama raw material na kufanya extrusion ili kupata products za plastic
je hapa Tz kuna watengenezaji wa plastic materials kama PEP, BOP, PET , PS etc, bei zikoje per roll in ton
ninatarajia kuanza utengenezaji wa food boxes and containers, tayari ninayo mashine
Last edited by a moderator: