Plate namba za magari zinavyokimbia hivi ni kweli vyuma vimekaza ?

Plate namba za magari zinavyokimbia hivi ni kweli vyuma vimekaza ?

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,584
Sijawahi kuona kipindi ambacho namba za magari zinakimbia kama wakati huu na huku mitaani kukiwa na malalamiko yakuwa vyuma vimekaza!

Miaka ya nyuma number A to B ilitumia more than 10 years but sasahivi yani unaweza shangaa number D isimalize miaka 5 licha ya namna bora ya urefushaji wa mgawanyo wa namba unaotumika!

Last two months DQ.. was on top juz nimestushwa kuona eti tushafika DR.. duh!

Nakosa jibu je ni kweli vyuma vimekaza au havijakaza?
Nisaidieni wadau na ningependa general views usijiongelee ww binafsi ongelea maisha ya watu wanaokuzunguka kwa ujumla.
 
Hii ni Nissan x trail new model!
Is it baby worker by the way?
FB_IMG_1562855954398.jpg
 
Sijawahi kuona kipindi ambacho namba za magari zinakimbia kama wakati huu na huku mitaani kukiwa na malalamiko yakuwa vyuma vimekaza!

Miaka ya nyuma number A to B ilitumia more than 10 years but sasahivi yani unaweza shangaa number D isimalize miaka 5 licha ya namna bora ya urefushaji wa mgawanyo wa namba unaotumika!

Last two months DQ.. was on top juz nimestushwa kuona eti tushafika DR.. duh!

Nakosa jibu je ni kweli vyuma vimekaza au havijakaza?
Nisaidieni wadau na ningependa general views usijiongelee ww binafsi ongelea maisha ya watu wanaokuzunguka kwa ujumla.
Mkuu aidha Ww ni mgeni kwenye magari au huna utafiti,namba A na B zilikimbia haraka kutokana na pikipiki na Bajaji zilikuwa zinatumia usajili mmoja na gari.
Kwamba namba D imekimbia sio kweli,ina zaidi ya miaka 7 ipo tu
 
Ukiwasikiliza sana wanasiasa hasa wa upinzani unaweza kuona vyuma vimekaza kweli lakini kiuhalisia siyo kweli. Mwanzo walisema serikali haina pesa na ina hali mbaya lakini cha ajabu tuliendelea kuona miundo mbinu ikijengwa kwa kasi. Kazi hasa ya vyama vya upinzani kwa sasa ni uzushi, kuwatia hofu wananchi na kuhakikisha serikali haifanikishi vitu vya maendeleo ili wao wajijenge kisiasa.
 
Watanzania walio wengi tunanunua magari used,Sasa hapo lazima namba zikimbie maana ndani ya miaka 3 gari imeshaanza kuchakaa.......
 
Back
Top Bottom