Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Sio kweli nyingine ni nzito tu mkuu hujakutana nazo?Nahisi pia utakiwa umenotice nyingi ya hizo gari ni baby walker!
Nadhani hujamuelewa vizuriSio kweli nyingine ni nzito tu mkuu hujakutana nazo?
Jana nimeona bmw x5 DRA
Nieleweshe tafadhaliNadhani hujamuelewa vizuri
Nissan gani?? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377]Hii ni Nissan Extray new model!
Is it baby worker by the way?View attachment 1151337
😀 mkuu kaushaNissan gani?? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377]
Mkuu aidha Ww ni mgeni kwenye magari au huna utafiti,namba A na B zilikimbia haraka kutokana na pikipiki na Bajaji zilikuwa zinatumia usajili mmoja na gari.Sijawahi kuona kipindi ambacho namba za magari zinakimbia kama wakati huu na huku mitaani kukiwa na malalamiko yakuwa vyuma vimekaza!
Miaka ya nyuma number A to B ilitumia more than 10 years but sasahivi yani unaweza shangaa number D isimalize miaka 5 licha ya namna bora ya urefushaji wa mgawanyo wa namba unaotumika!
Last two months DQ.. was on top juz nimestushwa kuona eti tushafika DR.. duh!
Nakosa jibu je ni kweli vyuma vimekaza au havijakaza?
Nisaidieni wadau na ningependa general views usijiongelee ww binafsi ongelea maisha ya watu wanaokuzunguka kwa ujumla.
Waswahili bhana so hujaona lolote la msingi isipokuwa typing error!Nissan gani?? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377]
Mbona my DG.. nimenunua 2016!Hakuna ukweli kuhusu hili, awamu hii kasi ya ununuzi magari imepungua. Namba inayoanzia D imekaa muda mrefu sana. Kama sikosei JK aliacha DK..
Nadhani hata wewe hujamwelewa vizuri.Hii ni Nissan x trail new model!
Is it baby worker by the way?View attachment 1151337
Nasubiri ifike namba EAA ninunue gari
Nadhani hujamuelewa vizuri