Plate namba za magari zinavyokimbia hivi ni kweli vyuma vimekaza ?

Namba D imekaa muda mrefu sana mkuu

Vyuma bado havijaachia tokea 2014( julai-agost) hadi leo ni miaka karibia 5 bado D inagalagala tu

Nafikiri ikija kuanza na E kuiingia F ni 2026 kwa trend hii
 
 
Population ya watu mil.55 imechukua miaka 10 kununua magari 500,000 ya biashara na ya kutembelea kwa ujumla wake.
Wastani wa magari 50,000 kwa mwaka.
Wastani wa kila watu 1000 mmoja tu ndiye mwenye uwezo wa kununua gari kwa mwaka.
Mengi yakiwa ni ya mkopo.
 
Mkuu aidha Ww ni mgeni kwenye magari au huna utafiti,namba A na B zilikimbia haraka kutokana na pikipiki na Bajaji zilikuwa zinatumia usajili mmoja na gari.
Kwamba namba D imekimbia sio kweli,ina zaidi ya miaka 7 ipo tu
Pia magari ya zamani yalibadilishwa namba na kuangukia no A mengine B.....so ni kawaida kukuta lory au trecta la 1990 likiwa namba A au B.
 
Na hata Marekani 90% ya magari wanayanunua through financing,so hatuchekani kwny mikopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…