Asante kHuwa ni miezi mitatu mkuu,kwa gari ndogo unalipia 25usd na gari kubwa unalipia 107usd kwa miezi mitatu,ikitokea dharura unaweza kuongeza siku,pia ukitaka kuisajili unakwenda nayo TRA,nadhani umenielewa
Shukrani kwa mchango wako mkuu.Huwa ni miezi mitatu mkuu,kwa gari ndogo unalipia 25usd na gari kubwa unalipia 107usd kwa miezi mitatu,ikitokea dharura unaweza kuongeza siku,pia ukitaka kuisajili unakwenda nayo TRA,nadhani umenielewa
Salaam wakuu.
Naomba mwenye kufahamu kuhusu matumizi gari yenye plate number za kigeni (SADC) au nchi jirani kama Kenya nchini. Naomba ufafanuzi wa haya maswali au moja wapo kwa anayejua tafadhali.
1. Ni muda gani gari inaruhusiwa kuwepo nchini Tanzania kabla ya kutoka kurudi ilikotoka?
2. Gharama za kuingia na hiyo gari ni kiasi gani?
3. Ukitaka kuongeza siku inawezekana?
4. Ukiamua kuisajili rasmi Tanzania, utaratibu unakuwaje? Yaani kodi zitakuwa kama vile umeagiza kutoka Japan?
Natanguliza shukrani zangu dhati kwa michango yenu