PLATE NUMBER ZA MAGARI, PIKIPIKI NA BAJAJI.

Tzabway

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
262
Reaction score
170
Habari zenu wanajamvi!

Naomba kufahamishwa kuhusu ni nani anayetoa plate number za vyombo vya moto vya usafiri. Kuna watu wanasema ni TRA, na kuna watu wengine wanasema ni other private company ndio wamepewa kazi hiyo ya kutengeneza na kutoa kwa wamiliki wa vyombo vya usafiri. Naomba kuwekwa sawa kwenye hilo.

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapolipia chombo unakuwa umelipia na plate namba, ukikabidhiwa chombo kinakuwa na plate namba, wewe ni kwenda kulipia bima na vibali vinginevyo.

Vv

Siyo kweli,ukweli ni kwamba chomb9 kinakuwa kimesajiliwa na kupewa namba bila PLATES,na hiyo ni kazi ya TRA,baada ya hapo unaenda kwenye kampuni za kuchapisha plates(ziko nyingi)unalipia 18,000/= kwa plate moja.
Zamani TRA ilimpa mkandarasi mmoja kufanya hiyo kazi,na ilikuwa ukipewa registration card,unapewa na number plates zako,baadae utaratibu huo ukafa.
Makampuni kutaja machache ni:
-sign industries
-Masasi signs
-n.k
 
Tra wanasajiri na kukupa namba za usajiri, mfano T 123 ABC
THEN
Makampuni binafsi yana print hizo namba za usajiri (ulizopewa na TRA) kwenye visaani (plates).

Kwa mfano,

Baba (TRA) anakupa jina

Mwalimu (makampuni) analiandika kwenye kitamburisho
 
Asante sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tra wanasajiri na kukupa namba za usajiri, mfano T 123 ABC
THEN
Makampuni binafsi yana print hizo namba za usajiri (ulizopewa na TRA) kwenye visaani (plates).

Kwa mfano,

Baba (TRA) anakupa jina

Mwalimu (makampuni) analiandika kwenye kitamburisho
Shukrani kwa mfano rahisi na unaoeleweka vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom