Unapolipia chombo unakuwa umelipia na plate namba, ukikabidhiwa chombo kinakuwa na plate namba, wewe ni kwenda kulipia bima na vibali vinginevyo.Habari zenu wanajamvi!
Naomba kufahamishwa kuhusu ni nani anayetoa plate number za vyombo vya moto vya usafiri. Kuna watu wanasema ni TRA, na kuna watu wengine wanasema ni other private company ndio wamepewa kazi hiyo ya kutengeneza na kutoa kwa wamiliki wa vyombo vya usafiri. Naomba kuwekwa sawa kwenye hilo.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka elimu tu.Utajiumiza kichwa,subiri upate chombo cha moto utajua.
Shukrani mkuu.Unapolipia chombo unakuwa umelipia na plate namba, ukikabidhiwa chombo kinakuwa na plate namba, wewe ni kwenda kulipia bima na vibali vinginevyo.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kweli,ukweli ni kwamba chomb9 kinakuwa kimesajiliwa na kupewa namba bila PLATES,na hiyo ni kazi ya TRA,baada ya hapo unaenda kwenye kampuni za kuchapisha plates(ziko nyingi)unalipia 18,000/= kwa plate moja.Unapolipia chombo unakuwa umelipia na plate namba, ukikabidhiwa chombo kinakuwa na plate namba, wewe ni kwenda kulipia bima na vibali vinginevyo.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu.Siyo kweli,ukweli ni kwamba chomb9 kinakuwa kimesajiliwa na kupewa namba bila PLATES,na hiyo ni kazi ya TRA,baada ya hapo unaenda kwenye kampuni za kuchapisha plates(ziko nyingi)unalipia 18,000/= kwa plate moja.
Zamani TRA ilimpa mkandarasi mmoja kufanya hiyo kazi,na ilikuwa ukipewa registration card,unapewa na number plates zako,baadae utaratibu huo ukafa.
Makampuni kutaja machache ni:
-sign industries
-Masasi signs
-n.k
Shukrani kwa mfano rahisi na unaoeleweka vizuri.Tra wanasajiri na kukupa namba za usajiri, mfano T 123 ABC
THEN
Makampuni binafsi yana print hizo namba za usajiri (ulizopewa na TRA) kwenye visaani (plates).
Kwa mfano,
Baba (TRA) anakupa jina
Mwalimu (makampuni) analiandika kwenye kitamburisho