Plate za majiko ya gas

Slm

Senior Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
103
Reaction score
4
Kama kuna mtu anafahamu zinapopatikana plate za majiko ya gas anifahamishe please
 
Kama una picha inaweza kusaidia nini hasa unaongelea.
 
Kama una picha inaweza kusaidia nini hasa unaongelea.
Anamaanisha ile sehemu wanapoweka masufuria wakati wa kupika mkuu. Kuna mengine yana plate 1,2,4!!
 
Asante sana kwa michango yenu ngoja nikajaribu hapo clock tower
Au nenda kariakoo maduka yale yanayouza majiko ya Gas huwa pia wanauza vifaa vya majiko kama hizo plates.
 
Kama kuna mtu anafahamu zinapopatikana plate za majiko ya gas anifahamishe please
Tabata baada ya Shule ya Msingi Liwiti kushoto kuna duka la vifaa vya gas kabla ya kituo cha Barakuda ukitokea Mandela Rd
 
Tabata baada ya Shule ya Msingi Liwiti kushoto kuna duka la vifaa vya gas kabla ya kituo cha Barakuda ukitokea Mandela Rd
Asante mkuu ngoja nijaribu pia hapo
 
Piga No 0713403785 Beda Gas Supp,pia jamaa anakufanyia installation kama ukitaka,wapo K/koo Uhuru/Livingstone str,Keys Hotel.
 
Piga No 0713403785 Beda Gas Supp,pia jamaa anakufanyia installation kama ukitaka,wapo K/koo Uhuru/Livingstone str,Keys Hotel.
Nashukuru mkuu nitacheck nae
 
Kuna duka moja lipo clock tower wanauza pale
Mkubwa ukisema clock tower basi sema na mkoa, kwani arusha Kuna clock tower, mwanza, pamoja ya Dar ni maarufu zaidi, sasa wewe unasema clock tower ya mkoa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…