Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,044
- Thread starter
-
- #41
Bear in mind kwamba wasafidotcom haiuzi kazi za WCB tu bali wasanii wote iwe ndani au nje ya mipaka ya Tanzania.Alafu nimekumbuka kitu:Kuna tofauti kati ya kuuza na kusambaza na ili liwe akilini mwako pia b4 you argue!.Wamejibu mwanangu.
Ila majibu yao hayaeleweki eleweki.
Kusema kitu na kukana baadae ndio kawaida yenu WcbHajawah kusema kitu kama hicho, umechanganya habari tofaut tofaut
Unavyobisha vitu ambavyo Dimond mwenyewe alisema ndio ninaposhindwa kukuelewa.Apo kwenye kusambaza kazi za wcb nzima hapana mkataba alisaini mondi kama mondi tu,Kingine mbona watu wana mikataba na same company na bado wanatumia platforms kama tidal?!
Sawa,tunaomba na ushaidi uliposema hawasimamii kazi zake tena!.Kusema kitu na kukana baadae ndio kawaida yenu Wcb
Viva diamondKupitia ukurasa wake wa instagram,Diamond platnumz ameweka wazi kua plaform yake ya kuuza na kununulia kazi za wasanii iitwayo,wasafidotcom ipo tayari kwa matumizi pande zote yaani wasanii (wauzaji) na mashabiki (wanunuzi).
Aliongeza kua plaform hio si kwaajili ya wasanii wa WCB tu bali ni kwaajili ya wasanii wote ndani na nje ya Tanzania!.
Pia aliandika,wazo la kuanzisha platform hio (wasafidotcom) ni baada ya kuona wasanii wanaekeza kwa kiasi kikubwa na wanapata kidogo kwa 7b alioleza kua wanadhulumiwa!.
Alihitimisha kwa kuandika wimbo wa harmonize mpya unaotarajia kutoka kesho kwa mara ya kwanza utapatikana kwenye platform io tu,Nimepita nimekuta gharama ni shilingi 300 tu kwa nyimbo moja!..Pia aliomba ushirikiano kutoka kwa wadau yaani mashabiki.
Pita hapa www.wasafi.com kuitazama.
Tuache ushabiki,Huyu jamaa anajua sana.
[HASHTAG]#BongoFlevaToTheWorld[/HASHTAG]
Duh! We jamaa bhana...Mkataba wa Sony na Ali ni tofauti na Mkataba wa Dimond na Universal kama ulimsikiliza mwenyewe Dimond alivyokuwa akitamba siku ile kwenye XXL.
Mkataba wa Ali yeye anasimamiwa kila kitu na Sony...kama ilivyokuwa Wcb wanavyomsimamia Harmonise,Mavoko au Raymond ila Mkataba wa Dimond na Universal ni kuwa jamaa kazi yao ni kusambaza na kuuza kazi za Wcb dunia nzima.
Ila cha ajabu hii Wasafi.com kuna kazi zote za Wasanii wa Wcb akiwemo na Dimond mwenyewe...Sasa kwa akili zako za kawaida unakubali kuwa watu wakulipe bilioni 2.2 Alafu bado wakuache uendelee kupata hela kupitia kitu ambacho washakupa hela?!
Kuna vitu Dimond hakuweka sawa siku ile pengine kwa bahati mbaya au kwa makusudi maana jamaa siku ile alikuwa kapanic na aki-panic huwa anaongea mpaka zisipokuwepo
Diamond hajasoma lakini ana akili kuliko waliokwenda shuleDiamond anafikiria mbele sana kwakweli hatumpangii Mungu ila tunamuombea azidishiwe Sikh zake yasije yakawa ya kanumba ..kanumba ndiye alikuwa muhimili Wa bongo muvi Leo wanamtusi sana baba tifa ila akiondoka mpaka apatikane kama yeye itakuwa ni muzik..long live simba...bravo to you
Wewe jamaa kweli mbumbumbu , universal music wanasimamia Kazi za diamond kwenye platform kubwa zaidi dunianiMkataba wa Sony na Ali ni tofauti na Mkataba wa Dimond na Universal kama ulimsikiliza mwenyewe Dimond alivyokuwa akitamba siku ile kwenye XXL.
Mkataba wa Ali yeye anasimamiwa kila kitu na Sony...kama ilivyokuwa Wcb wanavyomsimamia Harmonise,Mavoko au Raymond ila Mkataba wa Dimond na Universal ni kuwa jamaa kazi yao ni kusambaza na kuuza kazi za Wcb dunia nzima.
Ila cha ajabu hii Wasafi.com kuna kazi zote za Wasanii wa Wcb akiwemo na Dimond mwenyewe...Sasa kwa akili zako za kawaida unakubali kuwa watu wakulipe bilioni 2.2 Alafu bado wakuache uendelee kupata hela kupitia kitu ambacho washakupa hela?!
Kuna vitu Dimond hakuweka sawa siku ile pengine kwa bahati mbaya au kwa makusudi maana jamaa siku ile alikuwa kapanic na aki-panic huwa anaongea mpaka zisipokuwepo
Usidhani mondi aliamka asubui akawaza kuja na platform hii wenda ili wazo analo b4 ku-sign na universal!.Hata ivo huezi ekewa restriction jinsi za kusambaza kazi zako.Bear in mind kwamba mondi ana ushawishi mkubwa bongo na nje ya mipaka pia,huoni universal wanaweza kumtumia.!..ahahah..!Mtabaki ivo ivo mkijipa moyo ila ukweli mnaujua.Mstcheww.!Unavyobisha vitu ambavyo Dimond mwenyewe alisema ndio ninaposhindwa kukuelewa.
Kikubwa mtuambie tu kimetokea nini mpaka wanauza wenyewe na sio universal tena?
alafu tupe tofaut ya kusambaza na kuuza muziki kama mwenyewe Unavyodai View attachment 478687 View attachment 478687
We we jamaa hujui music unauzwaje omba uelimishwe , aliekwambia universal au Sony wanauza music Nani?Unavyobisha vitu ambavyo Dimond mwenyewe alisema ndio ninaposhindwa kukuelewa.
Kikubwa mtuambie tu kimetokea nini mpaka wanauza wenyewe na sio universal tena?
alafu tupe tofaut ya kusambaza na kuuza muziki kama mwenyewe Unavyodai View attachment 478687 View attachment 478687
Atakaemjibu huyu jamaa nahisi akili zao zitakuwa zinafananaMkataba wa Sony na Ali ni tofauti na Mkataba wa Dimond na Universal kama ulimsikiliza mwenyewe Dimond alivyokuwa akitamba siku ile kwenye XXL.
Mkataba wa Ali yeye anasimamiwa kila kitu na Sony...kama ilivyokuwa Wcb wanavyomsimamia Harmonise,Mavoko au Raymond ila Mkataba wa Dimond na Universal ni kuwa jamaa kazi yao ni kusambaza na kuuza kazi za Wcb dunia nzima.
Ila cha ajabu hii Wasafi.com kuna kazi zote za Wasanii wa Wcb akiwemo na Dimond mwenyewe...Sasa kwa akili zako za kawaida unakubali kuwa watu wakulipe bilioni 2.2 Alafu bado wakuache uendelee kupata hela kupitia kitu ambacho washakupa hela?!
Kuna vitu Dimond hakuweka sawa siku ile pengine kwa bahati mbaya au kwa makusudi maana jamaa siku ile alikuwa kapanic na aki-panic huwa anaongea mpaka zisipokuwepo
N short 1milion dollar ta kwa universal n kubwa hawawez kkupa afu wasikamue assert yao tena kwenye potential market unless aweke wazi kuwa hiyo site siyo yake bal n ya universal wemeweka ilkuanza kurudisha 2.2b na kutumia jina kupata wasanii wengine wa kunufaika na soko la east africa ambayo ndo the main coverMkataba wa Sony na Ali ni tofauti na Mkataba wa Dimond na Universal kama ulimsikiliza mwenyewe Dimond alivyokuwa akitamba siku ile kwenye XXL.
Mkataba wa Ali yeye anasimamiwa kila kitu na Sony...kama ilivyokuwa Wcb wanavyomsimamia Harmonise,Mavoko au Raymond ila Mkataba wa Dimond na Universal ni kuwa jamaa kazi yao ni kusambaza na kuuza kazi za Wcb dunia nzima.
Ila cha ajabu hii Wasafi.com kuna kazi zote za Wasanii wa Wcb akiwemo na Dimond mwenyewe...Sasa kwa akili zako za kawaida unakubali kuwa watu wakulipe bilioni 2.2 Alafu bado wakuache uendelee kupata hela kupitia kitu ambacho washakupa hela?!
Kuna vitu Dimond hakuweka sawa siku ile pengine kwa bahati mbaya au kwa makusudi maana jamaa siku ile alikuwa kapanic na aki-panic huwa anaongea mpaka zisipokuwepo
Jibu murua kabisaApo kwenye kusambaza kazi za wcb nzima hapana mkataba alisaini mondi kama mondi tu,Kingine mbona watu wana mikataba na same company na bado wanatumia platforms kama tidal?!
Iyo 2.2B inawauma sana eeeh baada ya msanii wenu kusajiliwa bure na sonyN short 1milion dollar ta kwa universal n kubwa hawawez kkupa afu wasikamue assert yao tena kwenye potential market unless aweke wazi kuwa hiyo site siyo yake bal n ya universal wemeweka ilkuanza kurudisha 2.2b na kutumia jina kupata wasanii wengine wa kunufaika na soko la east africa ambayo ndo the main cover
Nilikuambia umechanya habari mbili, Diamond hajawah sema kitu ilicho sema mwanzoKusema kitu na kukana baadae ndio kawaida yenu Wcb
Umeanza utoto toa facts tumia akil.Iyo 2.2B inawauma sana eeeh baada ya msanii wenu kusajiliwa bure na sony
Wow!.Wasipokuelewa na hapa acha nao.Nilikuambia umechanya habari mbili, Diamond hajawah sema kitu ilicho sema mwanzo
Mosi, swala la kodi, kodi ilikua ya mwaka mmoja kabla ya mkataba wake na Universal... Pesa ya Mkataba wake na universal alitoa kias akanunua nyumba South Africa
Pili, Issue ya Universal na usambazaji, Wale n sawa na Super dealer, watasambaza music kwenye masoko yao, hii haizuii au haiwek kizuiz kwa mtu kusambaza kazi zake kwa njia nyingne
Umeenda pale Azam ukafunga nao mkataba wa sumbaza ngano yao, haiwazuii wao nao kusambaza kwasababu wewe ndio super dealer..
Nyongeza# Hiyo website sio kwaajil ya Wasafi pekee, n wasanii wote Africa... leo ukienda kwenye digital platform kibao tu kazi za Wasafi unazikuta humo, mpya na za zaman, kama ingalikua n kazi zao zote zitasambazwa na Universal pekee, hizo kazi za wasafi zingeondolewa kwenye digital platform zote ambazo haziko chini ya Universal